Mpeni Bwana Utukufu
| Mpeni Bwana Utukufu | |
|---|---|
| Performed by | St. Peter's Makindu |
| Album | Nitakushukuru |
| Category | Zaburi |
| Views | 4,494 |
Mpeni Bwana Utukufu Lyrics
[s:] Mpeni Bwana enyi jamaa zake
[a:] Mpeni Bwana utukufu *2
Mpeni Bwana utukufu, utukufu wa jina lake
(tetemekeni *3 mbele zake mpeni*2)- Mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni nchi yote
Wahubiri watu habari zake - Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa
Na kuhofiwa kuliko miungu yote - Mwabuduni Bwana kwa uzuri, kwa uzuri wa utakatifu
Tetemekeni mbele zake Bwana
(Joseph C. Shomally)