Mpigieni Mungu Kelele
| Mpigieni Mungu Kelele | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Ikatetemeka Nchi (Vol 3) |
| Category | Zaburi |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 12,760 |
Mpigieni Mungu Kelele Lyrics
Mpigieni Mungu kelele za shangwe (shangwe * 2)
{Nchi yote imbeni utukufu wa Jina lake yeye
[s] Tukuzeni sifa zake sifa sifa zake
[a] Tukuzeni tukuzeni tukuzeni sifa zake sifa zake
[t] Lake tukuzeni tukuzeni sifa zake
[b] Lake tukuzeni sifa zake si-fa ze} *2- Kageuza bahari ikawa nchi kavu
Katika mito walivuka kwa miguu - Huko ndiko walipanda kabila kabila
Walipa-nda walipanda kabila - Njooni sikieni enyi nyote wenye kumcha
Ahimidiwe Mungu wetu milele