Mshukuruni Bwana
| Mshukuruni Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Views | 10,352 |
Mshukuruni Bwana Lyrics
Mshukuruni Bwana yeye ni mwema
Fadhili zake zinadumu milele *2- Kwa mkate wake twasema - asante sana
Kwa divai yake twasema - asante sana
(kweli) - Kwa huruma yake twasema - asante sana
Kwa baraka zake - asante sana
(kweli) - Kwa upendo wake - asante sana
Kwa fadhili zake - asante sana
(kweli)