Mshukuruni Bwana
| Mshukuruni Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Thanksgiving / Shukrani | 
| Views | 5,897 | 
Mshukuruni Bwana Lyrics
- Mshukuruni Bwana [mshukuruni]
 Mshukuruni Bwana Mungu
 kwa kuwa yu mwema
 Kwa maana fadhili zake ni za milele *2
- Ni wa upendo [ni wa upendo]
 Ni wa upendo Mungu kwa kuwa yu mwema
 Kwa maana fadhili zake ni za milele *2
- Ni wa amani…
- Ni wa neema…
- Ni wa huruma…
 
  
         
                            