Mshukuruni Bwana
| Mshukuruni Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Thanksgiving / Shukrani | 
| Views | 10,761 | 
Mshukuruni Bwana Lyrics
- Mshukuruni Bwana (Bwana) * 3
 Kwa kuwa ni mwema [ni mwema]
 (Kwa maana fadhili zake ni za milele *2)
- Yeye ni Mungu wa miungu,
 yeye ni Bwana wa mabwana
 Yeye peke yake anafanya maajabu makuu *2
- Ndiye aliyefanya mbingu kwa fahamu zake
 (Yeye aliyeitandaza nchi juu ya maji *2)
- Yeye alifanya mianga, jua litawale mchana
 (Mwezi nazo nyota zitawale usiku *2)
 
  
         
                            