Mshukuruni Bwana
| Mshukuruni Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Views | 10,868 |
Mshukuruni Bwana Lyrics
Mshukuruni Bwana (Bwana) * 3
Kwa kuwa ni mwema [ni mwema]
(Kwa maana fadhili zake ni za milele *2)- Yeye ni Mungu wa miungu,
yeye ni Bwana wa mabwana
Yeye peke yake anafanya maajabu makuu *2 - Ndiye aliyefanya mbingu kwa fahamu zake
(Yeye aliyeitandaza nchi juu ya maji *2) - Yeye alifanya mianga, jua litawale mchana
(Mwezi nazo nyota zitawale usiku *2)