Mshukuruni Bwana
| Mshukuruni Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Views | 30,956 |
Mshukuruni Bwana Lyrics
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
kwa maana fadhili zake ni za milele
Ni za milele ni za milele ni za milele * 2- Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake ni za milele - Mshukuruni Mungu wa Miungu . . .
- Mshukuruni Bwana wa mabwana . . .
- Yeye peke yake amefanya maajabu makuu . . .
- Yeye aliyefanya mbingu kwa fahamu zake . . .