Mtakatifu (Misa Centinary)
| Mtakatifu (Misa Centinary) |
|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 8,854 |
Mtakatifu (Misa Centinary) Lyrics
- Mtakatifu Mtakatifu
mtakatifu Bwana Mungu
Mtakatifu Mtakatifu
mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi *2
- Mbingu na dunia zimejaa utukufu
Mbingu na dunia, mbingu na dunia
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
Zimejaa utukufu wako
Hosanna juu, hosanna juu
Hosanna juu, hosanna juu mbinguni*2
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina
Mbarikiwa yeye, mbarikiwa yeye
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana
Ajaye kwa jina la Bwana
Hosanna juu...