Mtakatifu (Misa Fadhili)

Mtakatifu (Misa Fadhili)
Performed by-
CategoryTBA
Views7,467

Mtakatifu (Misa Fadhili) Lyrics

  • Mtakatifu, mtakatifu Bwana
    Mtakatifu Mungu wa majeshi
    Mbingu na dunia zimejaa
    Zimejaa utukufu wako


    Hosanna *5 Hosanna juu mbinguni *2
  • Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina lake Bwana