Mtakatifu (Misa Imani)

Mtakatifu (Misa Imani)
Performed by-
CategoryTBA
Views3,323

Mtakatifu (Misa Imani) Lyrics

  • Mtakatifu mtakatifu mtakatifu
    Bwana Mungu wa majeshi
    Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
  • Hosanna juu hosanna juu
    Hosanna juu hosanna juu mbinguni
  • Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana
    Hosanna juu hosanna juu Mbinguni *3