Mtakatifu (Misa Kariobangi)

Mtakatifu (Misa Kariobangi)
Performed by-
CategoryTBA
Views11,181

Mtakatifu (Misa Kariobangi) Lyrics

  1. [b] Mtakatifu
    [w]: Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu
    [b] Wa majeshi
    [w] Mbingu na dunia zimejaa tukufu wako

    Hosanna, Hosanna juu Mbinguni
    [Hosanna] Hosanna juu Mbinguni

  2. Mbarikiwa
    Anayekuja kwa jina lake Bwana Mungu