Mtakatifu (Misa Mwanda)
| Mtakatifu (Misa Mwanda) | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 3,025 |
Mtakatifu (Misa Mwanda) Lyrics
Ee mtakatifu, ee mtakatifu
Ee mtakatifu, ee mtakatifu
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi- Mbingu na dunia
zimejaa utukufu wako Bwana
Hosanna juu mbinguni - Mbarikiwa mwenye kuja
Mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana
Hosanna juu mbinguni - Utukumbuke ee Bwana
Utakapokuja kwa utukufu