Mtakatifu (Misa Pamoja)
| Mtakatifu (Misa Pamoja) | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 2,692 |
Mtakatifu (Misa Pamoja) Lyrics
- Mtakatifu Bwana Mungu wetu ee
Mtakatifu Bwana MunguMtakatifu Bwana Mungu wetu ee
Mtakatifu Bwana Mungu
Mbingu na dunia zimejaa/
mtakatifu Bwana Mungu
Utukufu wako, Mungu mkuu
Hosanna mbinguni daima - Hosanna mbinguni daima
Atujia kwa jina lako