Mtakatifu (Misa Voi)

Mtakatifu (Misa Voi)
Performed by-
CategoryTBA
Views3,330

Mtakatifu (Misa Voi) Lyrics

  • Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana
    Bwana Mungu wetu, Mungu wa majeshi ii

    Hosanna, hosanna juu mbinguni
    Hosanna juu mbinguni *2


    Mbinguni na duniani kumejaa kweli*2
    Kumejaa kweli utukufu wako oo
  • Mbarikiwa mbarikiwa mbarikwa Yule *2
    Yule mwenye kuja kwa jina la Bwana