Mtakatifu Bwana (Mungu wa Majeshi)

Mtakatifu Bwana (Mungu wa Majeshi)
Performed by-
CategoryTBA
Views16,747

Mtakatifu Bwana (Mungu wa Majeshi) Lyrics

  1. Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi
    ([w:]) Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
    (Alto:) Mbingu na dunia zajaa utukufu wako

    Hosanna Hosanna Hosanna *2
    Kweli juu mbinguni

  2. Mbarikiwa mwenye kuja kwa jina la
    Mbarikiwa yeye anayekuja kwa jina la Bwana
    Alto: Mbarikiwa yeye sa-na