Mtakatifu Bwana Mtakatifu

Mtakatifu Bwana Mtakatifu
Performed by-
CategoryTBA
Views12,871

Mtakatifu Bwana Mtakatifu Lyrics

  • [b:] Mtakatifu Bwana Mtakatifu -
    [w:] Bwana mtakatifu

    [Mbingu] Mbingu na dunia zimejaa
    Utukufu wako ni Mwokozi Bwana Mtakatifu


    Hosanna hosanna juu Mbinguni -
    Bwana Mtakatifu
  • Mbarikiwa yeye anayekuja -
    Bwana mtakatifu
  • Hosanna hosanna juu Mbinguni -
    Bwana Mtakatifu