Mtakatifu Bwana Mungu

Mtakatifu Bwana Mungu
Performed by-
CategoryTBA
Views7,251

Mtakatifu Bwana Mungu Lyrics

  • Mtakatifu Bwana Mungu
    Mungu wa Majeshi *2

    Hosanna juu Hosanna, Hosanna hosanna
    Hosanna juu hosanna, hosanna mbinguni


    Mbarikiwa anayekuja,Kwa jina la Bwana
  • Mbingu na nchi zimejaa,Utukufu wako