Mtakatifu Mtakatifu Bwana
| Mtakatifu Mtakatifu Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 12,417 |
Mtakatifu Mtakatifu Bwana Lyrics
- Mtakatifu mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi ii
Mtakatifu mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi iiHosannah ah aa aah aah *4
Mbingu na nchi zimejaa
utukufu wako mkuu uu *2 - Mbarikiwa anayekuja
kwa jina lake Bwana aa *2