Mtumikieni Bwana kwa Furaha
| Mtumikieni Bwana kwa Furaha | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 3,765 |
Mtumikieni Bwana kwa Furaha Lyrics
Mtumikieni Bwana kwa furaha *2
{ Njooni mbele zake (mbele zake ) *2
Mbele zake, njooni mbele zake kwa kuimba } *2- Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu,
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake
Tu watu wake na kondoo wa malisho yake - Kwa kuwa Bwana Mungu ndiye mwema,
Rehema zake, rehema zake ni za milele,
Na uaminifu wake ni wa vizazi na vizazi