Mtumikieni Kwa Furaha
Mtumikieni Kwa Furaha | |
---|---|
Performed by | St. Theresa wa Mtoto Yesu, Mwanza |
Album | Kila Kunapokucha |
Category | Zaburi |
Views | 3,159 |
Mtumikieni Kwa Furaha Lyrics
Mtumikieni Bwana kwa furaha, *2
Njooni mbele zake (mbele zake )*2
Mbele zake, njooni mbele zake kwa kuimba*2- Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu,
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake
Tu watu wake na kondoo wa malisho yake - Kwa kuwa Bwana Mungu ndiye mwema,
Rehema zake, rehema zake ni za milele,
Na uaminifu wake ni wa vizazi na vizazi