Mungu Ametuchagua
Mungu Ametuchagua | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Utume wa Uimbaji |
Composer | L. Vugilo |
Views | 5,240 |
Mungu Ametuchagua Lyrics
{ Mungu ametuchagua tumwimbie,
Kwa matendo yetu yote na moyo mwema,
Mungu ametuchagua 1(tumwimbie) } *2- Tumshukuru Mungu Baba aliyetuchagua (tumwimbie )
- Ametujalia afya, aliyetuchagua (tumwimbie)
- Tumekuwa na umoja, Baba twakushukuru (tumwimbie)
- Tuendeleze upendo na wanakwaya wote (tumwimbie)
- Na tupende kuheshimu wote waongozao (tumwimbie)