Mungu kwa Wema Wako

Mungu kwa Wema Wako
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerC. Ndege
Views6,625

Mungu kwa Wema Wako Lyrics

  1. { Ee Mungu kwa wema wako, Bwana uliwahifadhi,
    Uliwahifadhi wote walioonewa } *2

  2. Wenye haki watafurahi, washangilie uso wa Mungu
    Naam watapiga kelele, kelele za furaha
  3. Mwimbieni mwimbieni Mungu, lisifuni Jina lake,
    Furahini katika Bwana shangilieni mbele zake
  4. Ndiye Baba wa yatima, na mwamuzi wa wajane
    Mungu katika kao lake kao lake takatifu