Mungu ni Pendo
| Mungu ni Pendo | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Sign of Peace/Kutakiana Amani |
| Views | 41,118 |
Mungu ni Pendo Lyrics
- Mungu ni pendo, apenda watu
Mungu ni pendo anipendaSikilizeni furaha yangu
Mungu ni pendo anipenda - Nilipotea katika dhambi
Nikawa mtumwa wa shetani - Akafa Yesu kanikomboa
Yeye kanipa kuwa huru - Sababu hii namtumikia
Namsifu yeye siku zote