Mungu Sisi Ututawale
| Mungu Sisi Ututawale | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | General |
| Views | 6,908 |
Mungu Sisi Ututawale Lyrics
Mungu sisi ututawale, Mungu sisi ututawale
- Twakushukuru kwa ajili ya Yesu, Mungu sisi ututawale
Tujalie ushirika wa Yesu, Mungu sisi ututawale - Twakushukuru kwa amani ya Yesu . . .
Upendo wetu kwa mwanao Yesu . . . - Wokovu wetu twauleta kwa Yesu . . .
Huruma yako tujalie Yesu . . . - Majuto yetu twayaleta kwa Yesu . . .
Ee Bwana tuunganishe na Yesu . . .