Ee Mungu Uniokoe
Ee Mungu Uniokoe | |
---|---|
Performed by | St. Kizito Makuburi |
Album | Mungu Yule |
Category | Zaburi |
Composer | Charles Ruta |
Views | 10,625 |
Ee Mungu Uniokoe Lyrics
[b] Ee Mungu uniokoe
[w] Maana maji yamepita mpaka nafsini mwangu
[b] Ee Mungu uniokoe
[w] Ninazama katika matope mengi
{[a] Pasipowezekana (Bass) Kusimama
[w] Nimefika penye maji ya vilindi
Mtondo wa maji unanigharikisha *2}- Nimechoka kwa kulia kwangu koo yangu imekauka
Macho yangu yamedhoofu
kwa kumngoja Mungu wangu - Wanaoonichukia bure ni wengi
`Kuliko nywele za kichwa changu - Ee Mungu waujua upumbafu wangu
Wala hukufichwa dhambi yangu