Mungu Wangu Nipokee Lyrics

MUNGU WANGU NIPOKEE

Nipokee Mungu wangu nipokee *2
Mbele yako ninakuja daima
Sinitupe mbali nawe, mimi mwenye dhambi
Nipokee Mungu wangu wangu nipokee

 1. Adui wako shetani amenizingira, na mitego ya kila aina
  Nifanye nini Bwana nisipotee *2
 2. Kila jambo nifanyalo, laenda kombo Bwana
  Sijiwezi bila msaada wako, nifanye nini Bwana nikufikie
 3. Mali yangu yote Bwana nitakurudishia
  Mimi pia mali yako Bwana, nifanye nini Bwana unipokee
 4. Kwako Bwana nitadumu milele yote Bwana
  Na daima nikutumikie, nifanye nini Bwana nifike kwako
Mungu Wangu Nipokee
CHOIR
CATEGORYKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
 • Comments