Mungu Wangu Nitakutukuza

Mungu Wangu Nitakutukuza
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumTazameni Miujiza (Vol 2)
CategoryZaburi
ComposerJ. C. Shomaly
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyKey D Major

Mungu Wangu Nitakutukuza Lyrics


Mungu wangu nitakutukuza maana umeniinua,
Umesikia maombi yangu, sala zangu umenijibu
Na sasa ninafurahia, kwa jinsi ulivyonipenda,
Naimba ninachezacheza, ili kukushukuru wewe
Watu wote imbeni kwa furaha, pia na shangwe,
Pigeni vigelegele vya shangwe, pia makofi


{ Leteni kinanda (leteni leteni kinanda)
Leteni na zeze (leteni zeze)
Tumwimbie Bwana Mungu wetu yeye atupenda } *2

1. Mungu ninakushukuru kwa kuniumba mimi,
Umenipa na akili, Bwana ninashukuru

2. Ametupa na uhai pumzi yenye kutosha
Watu wote simameni, imbeni kwa furaha

3. Mungu nitakushukuru ningali bado hai
Na mwisho nifike kwako, nifurahi milele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442