Mungu yu Katika Kao Lake
Mungu yu Katika Kao Lake | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Zimmerman |
Album | Nitasimulia Matendo (Vol 6) |
Category | Zaburi |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 4,916 |
Mungu yu Katika Kao Lake Lyrics
Mungu yu katika kao lake takatifu,
Yu katika kao lake takatifu *2
Mungu yu katika kao lake takatifu }*2- Mungu huwakalisha wapweke nyumbani
Yeye huwapa watu wake nguvu * 2
Huwapa watu wake nguvu na uweza }*2 - Huwatoa wafungwa wafungwa wakae
Wakae katika hali ya kufanikiwa
{Yeye ni Baba Baba wa yatima
Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane} *2