Mwanakondoo (Misa Centinary)

Mwanakondoo (Misa Centinary)
Performed by-
CategoryTBA
Views8,478

Mwanakondoo (Misa Centinary) Lyrics

  • Ee mwana kondoo wa Mungu
    uondoaye dhambi za dunia ee,
    Ee mwana tuhurumie
    Mwanakondoo wa Mungu ee
    Ee mwana tuhurumie *2
  • Mwana kondoo wa Mungu ee, amani utujalie
    Mwenye kuondoa dhambi zetu ee, Amani utujalie
    Utujalie amani ee
    A - a amani, u-u-tujalie