Mwanakondoo (Misa Pamoja)

Mwanakondoo (Misa Pamoja)
Performed by-
CategoryTBA
Views2,939

Mwanakondoo (Misa Pamoja) Lyrics

  • [v] Mwanakondoo,
    [w] Mwana kondoo wa Mungu Bwana
    [v] Uondoaye
    [w] Dhambi za dunia, tuhurumie Bwana *2
    Ewe ndiwe mwanakondoo
  • [s:/a:] mwana kondoo uondoaye dhambi za dunia tuhurumie
    [t:/b:] wa Mungu wa Mungu wa Mungu wa Mungu tuhurumie
  • Mwanakondoo.
    Tupe amani Bwana.