Mwanakondoo (Uondoaye)

Mwanakondoo (Uondoaye)
Performed by-
CategoryTBA
Views2,937

Mwanakondoo (Uondoaye) Lyrics

  • Mwana kondooo wa Mungu, uondoaye dhambi zetu *2
    Tuhurumie - tuhurumie *2
    tuhurumie mwana kondoo
  • Mwana kondooo wa Mungu, uondoaye dhambi zetu *2
    Tuhurumie - tuhurumie *2
    tuhurumie mwana kondoo
  • Mwana kondooo wa Mungu, uondoaye dhambi zetu *2
    Tujalie - tujalie, tujalie -tujalie, tujalie amani