Mwanakondoo wa Mungu (la la la)
| Mwanakondoo wa Mungu (la la la) |
|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 2,975 |
Mwanakondoo wa Mungu (la la la) Lyrics
- Mwana Kondoo wa Mungu la la la la -
Mwana wa Baba *2
Kweli - kweli naomba kwa Baba
Ili - ili nipate huruma
Naomba kwa Mwana Kondoo niokolewe daima -
Ili nipate huruma *2
- Mwana Kondoo wa Mungu la la la la -
Mwana wa Baba *2
Kweli - kweli naomba kwa Baba
Ili - ili nipate huruma
Naomba kwa Mwana Kondoo niokolewe daima -
Ili nipate huruma *2
- Mwana kondoo wa Mungu la la la la -
Mwana wa Baba *2
Kweli - kweli naomba kwa Baba
Ili - ili nipate amani
Naomba kwa Mwana Kondoo niokolewe daima -
Ili nipate amani *2