Mwanakondoo(Fadhili)
| Mwanakondoo(Fadhili) | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 5,758 |
Mwanakondoo(Fadhili) Lyrics
- Mwana Kondoo wa Mungu
unayondoa dhambi za dunia ee Bwana
tuhurumie, tuhurumie - Mwana Kondoo wa Mungu
unayondoa dhambi za dunia ee Bwana
tuhurumie, tuhurumie - Mwana Kondoo wa Mungu
unayondoa dhambi za dunia ee Bwana
Tujalie amani