Mwavuli Wangu
   
    
     
        | Mwavuli Wangu | 
|---|
| Performed by | - | 
| Category | Tafakari | 
| Views | 3,914 | 
Mwavuli Wangu Lyrics
 
             
            
- Mimi niliutafuta mwavuli wangu uko wapi, wapi?
 Ili niufungue, niishi chini ya mwavuli
 Nisinyeshewe na yasiyopendeza Mungu (wangu)
 Nisichomwe na yasiyopendeza Mungu (wangu)
 Nayo yote yale yasiyo matakatifu, (Mwavuli)
 Niliupata mwavuli wangu ni Yesu (Kristu)
 Wa kila siku mwavuli wangu ni Yesu (Kristu)
 Mchana pia usiku popote anilinda, (Ni Yesu)
- Ananilinda na maadui, ananilinda na maadui
 Na wasiopeenda amani, ananilinda na maadui
 Kuliko majibu yote mi, kuliko majibu yote mi,
 Niepuke mitego, ya muovu
- Mwili wake na damu yake, mwili wake na damu yake
 Matendo ya haki na ukweli *2
 Dua yangu na maombi yangu, dua yangu na maombi
 Mwavuli wangu mimi, damu yake
 
 ~Kenya Poly