Mwimbieni Bwana Mungu
Mwimbieni Bwana Mungu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 4,155 |
Mwimbieni Bwana Mungu Lyrics
- { Mwimbieni Bwana Mungu - mwimbieni wimbo mpya
Mwimbieni wimbo mpya - aliyetujalia } *2Sifa kwako ee Bwana wanipenda sana
Nitakushukuru kwa nyimbo nzuri e Bwana *2 - { Shukuruni Bwana Mungu - katujali siku zote
Katujalia siku zote - asante Bwana Mungu } *2