Mwimbieni Bwana
| Mwimbieni Bwana | |
|---|---|
| Alt Title | Alfa na Omega |
| Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
| Album | Haya Tazameni (Vol 21) |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Composer | A. S. Haule |
| Views | 8,469 |
Mwimbieni Bwana Lyrics
- {Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni
Mwimbieni Bwana mwimbieni,
Mwimbieni Bwana nchi yote
Mwimbieni Bwana nchi yote (yote*5) aleluya }*2
Utawala enzi ni vyake
{yeye ni Alfa na Omega ni Alfa na Omega}*4
{Mwimbieni Bwana wimbo wa karne mpya —
Mwimbieni wimbo wa karne wa karne
Wenye wingi wa sifa utukufu enzi pia heshima}*2
Utawala enzi ni vyake
{yeye ni Alfa na Omega ni Alfa na Omega}*4 - Mwambieni Mungu matendo yanatisha
Yatisha ee Bwana yatisha kama nini - Njooni sikieni enyi wenye kumcha
Nitayatangaza aliyonitendea