Mwokozi Amezaliwa

Mwokozi Amezaliwa
Performed by-
CategoryNoeli (Christmas Carols)
Views6,764

Mwokozi Amezaliwa Lyrics

  1. Amka kinanda ngoma na zeze, zeze tulipige
    Ngoma na tucheze, Mwokozi amezaliwa *2
    Mji wote ni furaha chereko na vifijo,
    Nao malaika wanaimba kwa furaha
    Gloria Gloria Gloria Gloria Gloria glo-ria

  2. Bwana Yesu Kristu kazaliwa leo Bethlehemu
    Nao malaika wanashangilia Mbinguni
  3. Waumini wote njoni kwa furaha tuimbe
    Chereko chereko kazaliwa Bwana aleluya
  4. Tufurahi sote Bwana Yesu Kristu kazaliwa
    Amka kinanda ngoma pia zeze shangilia