Mwokozi Amezaliwa Tufurahi
| Mwokozi Amezaliwa Tufurahi | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Noeli (Christmas Carols) |
| Views | 5,275 |
Mwokozi Amezaliwa Tufurahi Lyrics
Mwokozi amezaliwa
Tufurahi tuimbe aleluya tumshangilie tufurahi
(Leo) Tumwimbie, Tumwimbie nyimbo za Shangwe
(Za shangwe) aleluya- Ni Mkombozi wetu sisi wanadamu,
Amekuja kwetu kututoa katika utumwa wa Shetani *2 - Ni siku nzuri ya wokovu tufurahi
Mwokozi amezaliwa aleluya *2 - Bwana wake Mungu anayeondoa dhambi za dunia
Kaa nasi Yesu katika maisha leo na milele