Nafurahi Kukusifu

Nafurahi Kukusifu
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMbinguni Kutakuwa Raha (Vol 4)
CategoryEntrance / Mwanzo
ComposerJ. C. Shomaly
Views8,190

Nafurahi Kukusifu Lyrics

  1. Nafurahi nikikusifu Mungu,
    Nafurahi kukushukuru Mungu
    Ninapoimba, na kucheza, kukusifu Mungu wangu
    Narukaruka, kama ndege, kulisifu Jina lako tukufu

  2. Jina lako tukufu na la kufurahisha, ee Bwana, ee Bwana
  3. Watu wote tusifu kwa sauti zetu, na ngoma, na ngoma
  4. Katenda miujiza leo tukawa hai, ee Bwana ee Bwana
  5. Ndege na warukeruke wanyama waimbe, ee Bwana ee Bwana