Nakujia Mwenye Dhambi

Nakujia Mwenye Dhambi
Performed by-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Composer(traditional)
Views8,515

Nakujia Mwenye Dhambi Lyrics

  1. Nakujia mi mwenye dhambi nipokee kwa pendo lako *2

    Yesu, nimechoka nazo dhambi
    Bwana, Bwana Yesu nipokee

  2. Ulikufa msalabani ukateswa na Wayahudi *2
  3. Damu yako ilimwagika kwa ajili ya dhambi zetu *2
  4. Ulipaa juu mbinguni kutuandalia makao *2