Nakulilia Nikiwa Chini
| Nakulilia Nikiwa Chini | |
|---|---|
| Performed by | St. Benedict Rapogi |
| Album | Huyu Ni Yesu (Vol 1) |
| Category | Zaburi |
| Views | 3,812 |
Nakulilia Nikiwa Chini Lyrics
Nakulilia nikiwa chini Bwana, Nakulilia unisikilize
Nakulilia sikiliza sauti yangu (Bwana) nikiwa chini- Roho yangu inatamani inatamani shibe zako
- Ee Bwana unisamehe, unisamehe nakusihi
- Nakuomba ee Baba yangu, ee Baba yangu niongoze
- Ninakulilia nikiwa chini, nikiwa chini sikiliza