Nalifurahi Waliponiambia
Nalifurahi Waliponiambia | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 38,999 |
Nalifurahi Waliponiambia Lyrics
Nalifurahi waliponiambia twende,
Nyumbani mwa Bwana *2
Miguu yetu (u yetu) imesimama
Imesimama ndani ya malango yako, ee Yerusalemu- Yerusalemu uliyojengwa,
Kama mji ulioshikamana *2 - Huko ndiko walikopanda,
Kabila za Bwana Mungu wetu*2 - Kwa ajili ya ndugu zetu
Na rafiki amani iwe nawe *2 - Kwa ajili ya nyumba ya Bwana
Nitafute mema siku zote*2