Nalifurahi Waliponiambia
Nalifurahi Waliponiambia | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 13,276 |
Nalifurahi Waliponiambia Lyrics
Nalifurahi waliponiambia
Twende nyumbani mwa Bwana *3
Nyumbani mwake- Miguu yetu imesimama ndani ya malango yako
Ndani ya malango yako Yerusalamu - Yerusalemu uliojengwa kama mji mji kama mji ule
Kama mji mji ulioshikamana - Huko ndiko walikopanda, walikopanda kabila
Kabila za Bwana za Bwana