Nalifurahia Waliponiambia
Nalifurahia Waliponiambia | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 19,199 |
Nalifurahia Waliponiambia Lyrics
- [v:] Nalifurahia waliponiambia
twende nyumbani kwa Baba
[w:] Nalifurahi waliponiambia twende...
Twende - nyumbani kwa Baba*4 - Naliimbaimba waliponiambia twende...
- Nalichezacheza waliponiambia twende...
- Nalisifusifu waliponiambia twende...
- Nalirukaruka waliponiambia twende...
- Nalichekacheka waliponiambia twende...