Nalisifu Jina La Baba
| Nalisifu Jina La Baba | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Views | 4,297 |
Nalisifu Jina La Baba Lyrics
- Nalisifu jina la Baba wa mbinguni,
Nalisifu jina la BabaBwana wangu unilinde vyema
Unilaze kifuani mwako
Bwana mwema a Bwana mwema - Maisha yangu natoa kwako Bwana mwema
Maisha yangu natoa kwako - Nashukuru fadhili zako za milele,
Nashukuru fadhili zako