Nalisikia Na Sauti
| Nalisikia Na Sauti | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Views | 4,619 |
Nalisikia Na Sauti Lyrics
- Nalisikia na sauti,
mchunga wangu aniita
Ee Yesu wangu ee Mwokozi
sauti yako naijuaEe Yesu we Mimi Bwana nitampenda mwenzangu
Ee Yesu we-Kama vile nijipendavyo mwenyewe *2 - Ukanionyesha njia
ukaniambia nikufuate
Jirani yangu nimpende
nijipendavyo mwenyewe - Na siku zangu zikiisha
unikumbuke ee Mwokozi
Na roho yangu uiweke
popote penye utukufu