Nami Maombi Yangu
Nami Maombi Yangu | |
---|---|
Performed by | St. Bernardette Kisii |
Album | Nimevipiga Vita |
Category | Zaburi |
Views | 3,906 |
Nami Maombi Yangu Lyrics
{Nami maombi yangu na yafike mbele zako,
ee Bwana, utegee ukelele wangu sikio lako
Utegee ukelele wangu sikio lako }*2- Nihurumie mimi maana fadhili zako ni vyema
Kama vile rehema zako, unielekee - Nami niliye maskini na mtu wa huzuni
Mungu utukufu wako utaniinua - Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo wangu
Nami nitamtukuza kwa shukrani