Nampenda Bwana
Nampenda Bwana | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Nikiziangalia Mbingu (vol 18) |
Category | Zaburi |
Composer | G. C. Mkude |
Views | 7,938 |
Nampenda Bwana Lyrics
Nampenda Bwana kwa kuwa asikiliza, sauti yangu
Nampenda Bwana kwa kuwa asikiliza, na dua zangu
Kwa maana Bwana, amenitegea sikio lake
{ Kwa hiyo mimi,
Nitamwita nitamwita Bwana wangu siku zote } *2- Kamba za mauti zilinizunguka,
Shida za kuzimu zilinipata
Niliona taabu na huzuni, nikaliitia jina la Bwana
Ee Mungu ee Mungu wangu ee Mungu uniokoe - Bwana ni mwenye rehema na haki,
Mungu wetu ni mwenye rehema
Bwana huwalinda wasio na hila, nilikuwa tabuni akaniokoa
Ee Mungu ee Mungu wangu ee Mungu uniokoe