Nasadiki (Misa Mwanda)

Nasadiki (Misa Mwanda)
Performed by-
CategoryTBA
Views3,507

Nasadiki (Misa Mwanda) Lyrics

  • Nina - ninamsadiki
    Mungu - Baba mwenyezi Yesu Kristu na Roho


    Nasadiki kwa Mungu Baba mwenyezi/
    Mwumba Mbingu na dunia
  • Na kwa Yesu Kristu/ Mwanaye wa pekee Bwana wetu
  • Aliyetungwa kwa Roho Mtakatifu/ Akazaliwa na Bikira
  • Akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato/
    Akasulubiwa/ akafa/ akazikwa/ akashukia kuzimu
  • Siku ya tatu akafufuka katika wafu/ Akapaa Mbinguni/
    Amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi
  • Toka huko atakuja/ Kuwahukumu wazima na wafu
  • Nasadiki kwa Roho Mtakatifu/ Kanisa takatifu Katoliki
  • Ushirika wa watakatifu/ Maondoleo ya dhambi
  • Ufufuko wa miili/ Uzima wa milele. Amina