Nasadiki (Misa Pamoja)
Nasadiki (Misa Pamoja) |
---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Views | 3,606 |
Nasadiki (Misa Pamoja) Lyrics
- Nasadiki kwa Mungu Baba mwenyezi/
Mwumba Mbingu na dunia
Nasadiki nasadiki
- Na kwa Yesu Kristu/ Mwanaye wa pekee Bwana wetu
- Aliyetungwa kwa Roho Mtakatifu/ Akazaliwa na Bikira
- Akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato/
Akasulubiwa/ akafa/ akazikwa/ akashukia kuzimu
- Siku ya tatu akafufuka katika wafu/ Akapaa Mbinguni/
Amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi
- Toka huko atakuja/Kuwahukumu wazima na wafu
- Nasadiki kwa Roho Mtakatifu/Kanisa takatifu Katoliki
- Ushirika wa watakatifu/Maondoleo ya dhambi
- Ufufuko wa miili/Uzima wa milele. Amina